Hardlife
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 2,758
- 6,299
[emoji1][emoji1] mimi napenda football ndugu.Kumbe mna macho [emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1] mimi napenda football ndugu.Kumbe mna macho [emoji1787]
Haya haya hamkeni hamkeniGame ikiwa tamu unaona muda unakimbia sio game la Congo na Misri hovyo kabisa
InjuryDah kiungo fundi Gassama katoka dah
Asante Mkuu.K
Karibu sana
Anasakwasakwa apigwe afeCV anapigwa msako hapa
Lakini atashinda.CV anapigwa msako hapa
Ila ball wanatembeza hii ndio maana halisi ya game burudani timu zote zinacheza mpira mzuriLakini atashinda.
Mauritania yuko hapo kwa bahati.
Wewe tulia t🤣🤣dawa inakujaMauritania wanapiga ball jamani zile visigino duuh 🤣
SanaAsante Mkuu.
Mpira ni wakuviziana sana
Ogopa wenye Bahati usiwachukulie poaLakini atashinda.
Mauritania yuko hapo kwa bahati.
KabisaIla ball wanatembeza hii ndio maana halisi ya game burudani timu zote zinacheza mpira mzuri