Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Kweli game ikiwa mchaka mchaka hakuna kupoteza mudaDaah mpira umeisha haraka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli game ikiwa mchaka mchaka hakuna kupoteza mudaDaah mpira umeisha haraka
Kuna Mwana kasema mpira ukiwa mtamu mnaona Dakika chache ndio Kam hvDaah mpira umeisha haraka
10% tatizo suguHalafu kuna watu wanatuambia wamapata shida kupata wachezaji Afrika hii
Hapa akili inawaza baadae😂Umeona ehhh😁
Kuna Mwana kasema mpira ukiwa mtamu mnaona Dakika chache ndio Kam hv
Usinikatishe tamaa😃Huwawezi hao, we endelea na hao akina Mwajuma ziwa moja.na Asha chura wa Manzese.
Wenyeji Leo Wana kibarua kigumu mno maana sio kwa watu waleHapa akili inawaza baadae😂
Macho haya danganyi
Pisi kali.CV kuna warembo
Nadhani Cape Verde wana nafasi zaidi ya kupata goli kuliko Mauritania kama wataongeza utulivu pale mbele. Beki ya CV imetulia sana, pale labda wafanye uzembe ndiyo jamaa watawafunga.Mauritian wnakosa utulivu huku mbele wakitulia tuu wana goli
😂😂😂😂😂, umenivunja mbavu.Huwawezi hao, we endelea na hao akina Mwajuma ziwa moja.na Asha chura wa Manzese.
Wangekuwepo wanyarwanda hapo tungeuana hapa au wa EthiopiaPisi kali.
Mashabiki. Au?Pisi kali.
Yeah! huwaoni mwanetu?Mashabiki. Au?
Leo kila shabiki kaingia na fimbo ile kama ya mwalimu Nyerere tuliyokuwa tunadanganywa huwezi kuibebaWenyeji Leo Wana kibarua kigumu mno maana sio kwa watu wale