2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Picha IPO wapi?
Screenshot_20240129-204840~2.png
 
Bongo tuachane kabisa na huu mchezo wa mpira wa miguuyawezekana nao unachangia umadikini na magonjwa ya afya ya akili

Sio vipaji vyeti tunalazimisha tuu

[emoji843] Nchi Ina watu zaidi ya milioni 60 lakini Haina vipaji vya mchezo wanaoulazimisha . Mauritania Wana idadi ya watu wasiozidi milioni 4 ,wachezaji wao Wana vipaji na maumbo makubwa

[emoji843]Sisi tubaki kama ndugu zetu wa Bombay ma kanjubai ambao Wana idadi kubwa ya watu na uchumi mkubwa lakini hili tatizo lilikwisha washinda. Bora hata wao walipogondua hawaliwezi zigo hili wakajikita kwenye cricket. Sisi tunakomaa na fupa hili tuu
Tatizo letu ni usimamizi mbovu ndo maana hakuna tulichojipata,labda kwenye unafiki wa mapambio na uchawa.
 
Back
Top Bottom