Mpaka kampa Cabo VerdeSawa mwangalie paka akushangaze Ila Cabo Verde anakufa hata paka akisema vinginevyo paka Jana kaumbuka 🤣
Picha IPO wapi?Mpaka kampa Cabo Verde
Ndo maana yakeSaa tano?
Hataaar yaanCV kuna warembo
Picha IPO wapi?
Afcon hii itaongoza Makocha kutimuliwa 😃Apite tu yeyote, mi naisubiri timu yangu imtoe mwenyeji nchi ichafuke😀
Paka leo pia kaungua 🤣
Leo inaweza kuwa siku ya mwisho ya mashindano. Tujiandae kisaikolojia 🤣😂🤣Apite tu yeyote, mi naisubiri timu yangu imtoe mwenyeji nchi ichafuke😀
Akifungwa CV anarudishaHii game atakaye fungwa atakuwa na kazi kubwa ya kuchomoa
Hadi wewe umeona?Hao kepu verde kuna watoto wa kishua naona camera kila saa zinaenda hapo...
Cabo Verde walikua washakufa mpaka muda huuWasubiri dkk za nyongeza kama jana mmoja afunge iume kama jana....
Tatizo letu ni usimamizi mbovu ndo maana hakuna tulichojipata,labda kwenye unafiki wa mapambio na uchawa.Bongo tuachane kabisa na huu mchezo wa mpira wa miguuyawezekana nao unachangia umadikini na magonjwa ya afya ya akili
Sio vipaji vyeti tunalazimisha tuu
[emoji843] Nchi Ina watu zaidi ya milioni 60 lakini Haina vipaji vya mchezo wanaoulazimisha . Mauritania Wana idadi ya watu wasiozidi milioni 4 ,wachezaji wao Wana vipaji na maumbo makubwa
[emoji843]Sisi tubaki kama ndugu zetu wa Bombay ma kanjubai ambao Wana idadi kubwa ya watu na uchumi mkubwa lakini hili tatizo lilikwisha washinda. Bora hata wao walipogondua hawaliwezi zigo hili wakajikita kwenye cricket. Sisi tunakomaa na fupa hili tuu
😂😂😂Paka leo pia kaungua 🤣
Mahaba muhimuHadi wewe umeona?