uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
ni uko porini ama?Sema tupo wengi tumekusanyika kwa jirani ntaangalia kwa uhuru wa saa 5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni uko porini ama?Sema tupo wengi tumekusanyika kwa jirani ntaangalia kwa uhuru wa saa 5
Hii gemu Cabo Verde ndio wanafungwaHawa Muritania sasa hivi wanachoma, haya mashambulizi mfululizo sio.
Wako vizuri sanaHaka karangi kao sijui ni kamchanganyiko ka wapi,aisee hawa wadada mmmh
Cabo Verde OutDuuuuhhhhh
Hapana sio porini hatani uko porini ama?
Hainihusu hata CV wanavaa jezi za Simba...Amevaa jezi ya Yanga usisahau
Si ulisema hunywi bia wewe?Hapana sio porini hata
Tulia tu dawa inakujaWanangu wa CV ni kama Simba tu. Ikicheza na Al Ahly au Wydad wanaupiga mwingi ila KMC inawatoa kamasi
Kwa hio ulitaka kusemaje Cabo Verde OutHainihusu hata CV wanavaa jezi za Simba...
Hawatakiwi kupona kwa kweli!!Dah uwanja umeinama MTN watapona kweli
Umesikia peke yako labdaHivi wanavyupumua nawasikia mimi tuu au ni ngoma zinapigwa uwanjani..
Ngoja waanze kulia ndio ndio tutajua hao mabinti zao wazuri au make up zimejaa usoni.Hii game CV akifa watalia sana