The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
Embu tulia gabaksi jana walituambia hiv hiv kumbe mweupe tu😂Kama wakienda kwenye matuta naona cape verde wanaweza kutoka maana naona huyu kipa wa mau ana kitu
😂😂Hivi wanavyupumua nawasikia mimi tuu au ni ngoma zinapigwa uwanjani..
Aisee nimeamua kuangalia Kwa umakin zaid hakika nimeona maua haswa 🥰Haka karangi kao sijui ni kamchanganyiko ka wapi,aisee hawa wadada mmmh
Mimi sipo upande wowote...watajuana wenyewe ila naenjoy ball...Kwa hio ulitaka kusemaje Cabo Verde Out
WarembooooAisee nimeamua kuangalia Kwa umakin zaid hakika nimeona maua haswa [emoji3059]
CV sio wakupigwa na MTN, utanielewa baadaeHakuna matuta hii gemu mtu anafia humu humu na sio mwingine bali ni Cabo Verde out
Watulie sasatutaaaaa