Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Kama ilivyokuwa 2012 wakati Zambia anachukua.Kuna hatari time hii Afrika tunapata bingwa ambae wengi hatukumdhania
Eti mbona hawakucheck na ile cross? Mana jamaa wa Ghana alinawa ndo ukagonga mwamba na kurudi uwanjaniJamaa wa Ghana alikuwa katika nafasi ya kuotea na alimzuia kipa asione mpira unapotokea
😂😂😂 Wangenyimwa tuHivi tuseme ukweli lile tuta leo waliopewa misri ndio ingekuwa upande wa msumbiji na matokeo hayako upande wao wangepewa kweli?
SanaaaGame ipo moto hii
Wasingepewa.Hivi tuseme ukweli lile tuta leo waliopewa misri ndio ingekuwa upande wa msumbiji na matokeo hayako upande wao wangepewa kweli?
Hii AFCON team nyingi zimeenda kupambana, hakuna mchekea labda Tz tu.Hawa Cape Vede wanaupiga mwingi
Na ndio amaekuwa mwiba kwenye hii mechi, anakipiga sana leo.Nimeshangaa Bebe yule wa Manchester United bado anakipiga.
Kati ya sajili Fergie alibugi ni hii ya Bebe
Nimeona aiseeNa ndio amaekuwa mwiba kwenye hii mechi, anakipiga sana leo.
Mbona anamwaga maji ya kutoshaNimeshangaa Bebe yule wa Manchester United bado anakipiga.
Kati ya sajili Fergie alibugi ni hii ya Bebe
Timu ya taifa stars kwenye hii michuano bado ni kama wanajitafutaIla humu watu wanaisema taifa stars hatari