2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Hivi tuseme ukweli lile tuta leo waliopewa misri ndio ingekuwa upande wa msumbiji na matokeo hayako upande wao wangepewa kweli?
😂😂😂 Wangenyimwa tu

Sema Msumbiji walizungua, kupaki basi toka dakika ya 65 hivi ameruhusu mashambulizi mengi sana ambapo inakuwa rahisi kufungwa au kufanya makosa na kusababisha penalti.

Wale ilitakiwa wamalize shughuli kati tu na sio golini kwao
 
Mechi ya Madrid na Barcelona imemalizika bila kuongeza dakika katika kipindi cha pili.

Zilipohitimu dakika 90 refa kapuliza filimbi

Hii pia watu waijue kabla ya kuanza kuwalaumu marefa wetu.
 
Back
Top Bottom