Cetshwayo Kampande
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,295
- 2,973
Ujerumani unamkuta swezenagalShuti kama lile alikuwa anapigaga marehemu Hamis Gagarino kwa hapa Bongo
Kule ulaya unamkuta Michael Ballack au Torsten Frings
Hakuna hii gemu Cabo Verde walikua wanatoka beki kaingizwa kuja kuiuza timuHata hivyo wangefungwa tu wanaonekana wamechoka kabisa
🤣🤣🤣Ujerumani unamkuta swezenagal
Mapemaa..Team Senegal tujuane…
Hapo tupo pamojaTeam Senegal tujuane…
Labda Stars ya kwenye game [emoji452]Hivi stars wanaweza jaribu kucheza hivi..!?
Watoto wateketeke aiseeWana rangi nzuri ni kama kule anapotoka rihana
Watakuelewa kweli watoto wa 2002 humu?Brazil ya mwaka 2002 dakika kama hizi alikuwa anaingia Denilson kiwachosha mabeki kwa chenga zake na kulinda ushindi…
Goli lile ni beki kasababishaNdio utulivu nilikuwa nauongelea huo. Mauritania [emoji1163] wanacheza kwa speed but huoni madhara hata kidogo mbele.
Cape Verde walikuwa na utulivu wa hali ya juu.