2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Mshuti kama ule pale ilikua muhimu,ukikosa pale lawama kwako nchi nzima inakuona kama muhaini,ukipata unakua hero.penat kama hizo enzi zangu nilikuaga sipigi,naachianl mwingine
Shuti kama lile alikuwa anapigaga marehemu Hamis Gagarino kwa hapa Bongo

Kule ulaya unamkuta Michael Ballack au Torsten Frings
 
Back
Top Bottom