data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Imeisha hii...Sasa hapa CV atasakwa atajuta kuongoza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeisha hii...Sasa hapa CV atasakwa atajuta kuongoza
Hakika
kweli kabisaWapambane warudishe, kufungwa dk za mwishoni inauma sana mpaka nimewaonea huruma
Kacheza vizuri sana leo sema beki kazinguaTOLU KAMA GOLIATH TU HAKUNA KITU AJE DODOMA JIJI
Wamebahatisha bao yule beki kawauza wenzie Mbuzi yule
Heri wa dakika za mwishoWapambane warudishe, kufungwa dk za mwishoni inauma sana mpaka nimewaonea huruma
Heri wa dakika za mwishoWapambane warudishe, kufungwa dk za mwishoni inauma sana mpaka nimewaonea huruma
[emoji23][emoji23]Lile shuti linaitwa “mama mkanye mwanao”
Nadhani sasa akili imekaa sawa. Nina miaka zaidi ya 25 ya kuangalia mpira. Timu inapofanya makosa unayaona.Tukutane hapa mpira ukiisha tunza comment yako hivyo hivyo huu mpira wa leo utakushangaza