The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
hafiki kwenye matuta huyo atapigwa 2-0 on open play,themba zwane atapeleka msiba mzito uarabuniMorocco kesho anatoka kwa penati au mnasemaje wadau wa soka
Ostaz Mane mbele ya pazia lililowekwa goli 4 na vibonde na Equatorial Guinnea
Akiyanani
Leo sijui watang'oa Nini wale stars new version πππ
Ndiwooo sinywi!Si ulisema hunywi bia wewe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani ka kisiwa ambacho kana watu laki tano na point inazidiwa na nchi yenye watu 60M
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi gdp wametupita mkuuYaani ka kisiwa ambacho kana watu laki tano na point inazidiwa na nchi yenye watu 60M
Captain Aliou Cisse ambaye kwasasa ndiye kocha alikosa penati muhimu na kuipa ubingwa Cameroon. Aliupa mpira mgongo na kugeuka na kupiga matokeo yake mpira ulienda nje.Ile AFCON 2002 niliinjoi sana Cameroon wakivaa singlendi na Senegal ya kina Diouf na Fadiga. Daah π π
Hadi gdp wametupita mkuu
Senegal ile ni htr sn, kulikua na foward yao anaitwa henry camara aisee ni noma.Captain Aliou Cisse ambaye kwasasa ndiye kocha alikosa penati muhimu na kuipa ubingwa Cameroon. Aliupa mpira mgongo na kugeuka na kupiga matokeo yake mpira ulienda nje.
Ila Senegal ilikuwa na watu unamkumbuka Papa Bouba Diop? Mwili mkubwa kama banda la chips, mido ya kazi sana
Palikuwepo na Herny Camara na Souleymane Camara. Pia alikuwepo Salif Diao huyu alienda kukipiga ahdi LiverpoolSenegal ile ni htr sn, kulikua na foward yao anaitwa henry camara aisee ni noma.
Hatari sanaYaan watu wanaoingia kariakoo kwa siku ndio nchi nzimaππ daah aliyeturoga hiyo dawa sijui kaificha wap