2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Ile AFCON 2002 niliinjoi sana Cameroon wakivaa singlendi na Senegal ya kina Diouf na Fadiga. Daah 🙄 🙄
Captain Aliou Cisse ambaye kwasasa ndiye kocha alikosa penati muhimu na kuipa ubingwa Cameroon. Aliupa mpira mgongo na kugeuka na kupiga matokeo yake mpira ulienda nje.

Ila Senegal ilikuwa na watu unamkumbuka Papa Bouba Diop? Mwili mkubwa kama banda la chips, mido ya kazi sana
 
IMG_9672.jpeg
IMG_9673.jpeg
 
Senegal ile ni htr sn, kulikua na foward yao anaitwa henry camara aisee ni noma.
 
Back
Top Bottom