Nimefurahi sana kunifungia wale viandeMadrid bwana ni timu ya vikombe
Watu mna nongwa🤣Huyu keeper wa Ghana napenda ateseke sana maana ni jeuri sana. Nikikumbuka zile match na Simba aisee..
Go go Cape Verde
Hatari [emoji1787][emoji1787]Watu mna nongwa[emoji1787]
Kuna mechi saa kumi na moja jioni, kuna mechi saa mbili usiku, pia kuna mechi saa tano usiku. Pia Africa magharibi tumewatangulia lisaa limoja sisi wa Africa mashariki if I'm not mistaken!Hivo kwanini hii michuano muda wameweka usiku sana? Mbona WC haikuwa hivi?
WC ilikuwa Qatar tupo sawa kwenye mstari sijui wa Longitude or latitude sikumbuki vizuriHivo kwanini hii michuano muda wameweka usiku sana? Mbona WC haikuwa hivi?
Kwahiyo amebeba hilo kombe?Madrid bwana ni timu ya vikombe
Ndio 4-1Kwahiyo amebeba hilo kombe?
Inategemea na nchi inapochezeka, ivory coast tumewapita masaa matatuHivo kwanini hii michuano muda wameweka usiku sana? Mbona WC haikuwa hivi?