2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Mpaka sasa Cape Verde anaongoza goli moja na kumiliki Mchezo.
Mwaka huu huenda maajabu aliyofanya Morocco kombe la dunia 2022 yakatokea au ya Zambia afcon 2012.
 
Hivo kwanini hii michuano muda wameweka usiku sana? Mbona WC haikuwa hivi?
Kuna mechi saa kumi na moja jioni, kuna mechi saa mbili usiku, pia kuna mechi saa tano usiku. Pia Africa magharibi tumewatangulia lisaa limoja sisi wa Africa mashariki if I'm not mistaken!
 
Back
Top Bottom