Nafikiri ukubwa wake umemuokoa..Kacheza rafu mbaya sana
Hakika huu ndio ukweli wenyewe sometimes ukiwa mkubwa jina la kubeba angekuwa mwingine huu ni umemeRefa Hapa Kwa Mane kaogopa Jina
Ndio walipoangukiaHivi kwa nini walipangiwa na Senegal?
CAF hawakuwatendea haki [emoji23]
Sahihi kabisaZama zao zimeisha, wajipange watengeneze kikazi kingine cha dhahabu.
Ivory coast ilitakiwa ipangwe group la TanzaniaTema mate chin hawa unawaona wanapigwa hiv wakikutana na kizimkaz tutaimba MMA
Hivi bado yupo?πππ
Ashukuru Mungu Ivory hawajashupaza shingo kwa refa na refa sijui anamuogopa!Yaani wakienda na VAR mane anakula umeme
πππ.Hivi bado yupo?πππ
We sio wa kunidanganya wewe.Ndio wanaonesha
Aseee sadio ile ni red card
Ameogopa ukubwa wa mane kumtoa mane inabid uwe na roho mbaya sana, kule ndani wameacha tuAshukuru Mungu Ivory hawajashupaza shingo kwa refa na refa sijui anamuogopa!
Kweli ana nyota