The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
Mwili bandaHuyu ndiakite ni kipande Cha mtu haswa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwili bandaHuyu ndiakite ni kipande Cha mtu haswa
papa bouba diop RIP lile goli lake mechi ya ufunguzi na ufaransa 🔥Captain Aliou Cisse ambaye kwasasa ndiye kocha alikosa penati muhimu na kuipa ubingwa Cameroon. Aliupa mpira mgongo na kugeuka na kupiga matokeo yake mpira ulienda nje.
Ila Senegal ilikuwa na watu unamkumbuka Papa Bouba Diop? Mwili mkubwa kama banda la chips, mido ya kazi sana
Huyo kachoma mikeka leo😂😂😂😂😂😂.
Sema kuna namna natamani Senegal apigwe.
Natamani wapigweJersey ya Senegal [emoji1211] imenyooka hatari.
Ndiomana kanavimba si ulikaona kako ☹️😕Ameogopa ukubwa wa mane kumtoa mane inabid uwe na roho mbaya sana, kule ndani wameacha tu
Leo hakuna atakayetoka ni fimbo tu geti zote zinafungwaMashabiki wamefula Ile kinoma Kuna Hali ya atar Leo😃
Ilifaa kuwa red.Hiyo sio red ?
Itakuwa walipaka harufu ya samaki kwa bakuli ili wajifariji.
Ashukuru Mungu Ivory hawajashupaza shingo kwa refa na refa sijui anamuogopa!
Kweli ana nyota
Mane uwa kuna rafu zake akicheza anacheza rafu mbaya sana maana uwa yuko aggressive kwny uchezaj wake.Kacheza rafu mbaya sana
[emoji419][emoji817] Na angelambwa umeme.Nina hakika mane sababu ya ukubwa wake refa ajaitwa ila nagekuwa mchezaji wa kawaida refa angeitwa
Nyie kwani mko na age ngapi naona mnazungumza mambo ya 2002 huko sijui nilikua la ngapi na saii niko mzee tayari 🤠!papa bouba diop RIP lile goli lake mechi ya ufunguzi na ufaransa 🔥
Hawajavaa kimakosaUkaangalia kwa mbali hawa Cote D'Ivoire,
utafikiria wafungwa na hizo jezi zao
😂😂Itakuwa walipaka harufu ya samaki kwa bakuli ili wajifariji.