Goodluck Mchika
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 1,228
- 1,138
Alafu wanavimba na promo za wasemaji wa timu badala ya uhalisia matokeo yake hata timu ya taifa wachezaji ni wakuokotezaLigi ambayo bingwa wake anakuwa at leveles na team ya inayoshika mkia kwenye ligi ya SA tena ikiwa na wazawa tupu.
Wangemtoa diakite mwili banda akili kisodaAko vyedi sana uwee! Basi tu sijui kwanini hawakumuita!
anaangalia afcon ya simba na yanga 😂😂
[/QUO
Changamoto sana
Huyo dogo akili hanaWangemtoa diakite mwili banda akili kisoda
Khaaa mayele gani?😂😂mkuu upo sawa?Mbona mayele aliitwa lakin hakucheza hata sekunde ,yote yanatokea.
Huyo ni shabiki wa timu sio mpiraMayele si kacheza gemu ya Tz yote
Huyo Kazi kutumia miguvu tu bwahahahahahah!Wangemtoa diakite mwili banda akili kisoda
Ashapiga vyomboKhaaa mayele gani?😂😂mkuu upo sawa?
Nguvu zake angekuwa nazo mayele angekuwa. Hatari sana dogo ana nguvu lakini akili hanaHuyo dogo akili hana
Ni dogo tuuhDIAKITE KAZALIWA 2003 kama harland
Jinga sana huyo dogo hana machungu kama FofanaHuyo Kazi kutumia miguvu tu bwahahahahahah!
Mayele AFCON hasikiki kabesa!Khaaa mayele gani?😂😂mkuu upo sawa?
Alafu natharet anadai 1999 amara 2003 huyu commentary wa hovyo sanaNi dogo tuuh
Kama ni kweli lakin?!
Weee umri wa wacheza mpira fekero sanaDIAKITE KAZALIWA 2003 kama harland
Sijui kwanini refa alimcheza kidogo, sema mayele na bukambo bora aanze bukambo mayele mzuri atokee benchiMayele AFCON hasikiki kabesa!
Hata mimi nimeona hiloHuyo ni shabiki wa timu sio mpira
Ni mtifuano balaa.hatua ijayo itakua yamoto sio kidogo
Asa jana mkuu alicheza dk ya ngapi?!Ashapiga vyombo
Dogo yupo vzuri sana anafahamu mambo mengi sana, mfafilie kwa makini halafu nazareth ni kajamaa tu kadogo kadogoAlafu natharet anadai 1999 amara 2003 huyu commentary wa hovyo sana