Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliwauliza hapo kama watu wamemuona. AFCON 2019 hatari sana.Hehehee, mmemuoana jamaa yetu Diata?
Ila haizidi ya CV NA MTNkabumbu imepigwaa kwelii
Umeona eehh!kosa lao ilikuwa kuangalia majina ya ulaya, na kimwacha Pacome
😂😂😂Watu tunaongelewa wachezaji wa maana wewe unaleta habari za Pacome? Hebu angalia watu kama Diakite na Fofana, Pacome anaingia mara ngapi?
Hawana mtu wa kichwaShida hawa Ivory Coast hawaamini kwenye kumwaga maji,nadhani itakuwa hawana mtu mzuri wa vichwa maana wanafosi kuingia tu kwa kupasua msitu wa Senegal kitu ambacho sio rahisi
Huyo mchezaji anaitwa Gradel miaka 36 sasa. Yupo tangu AFCON ya 2012 na hapo ndio alikuwa na miaka 24.Huyu refa na mchezaji anayebishana nae wanafanana
Senegal hawatarudi na kombe, safari hii kombe linachukuliwa na watu wa kisiwaniThubutuuuu!
Ni kweli, wameonekana kuwa butu pale mbeleNi mtu ndio lakin apige Hata cross
mbele ya kouliballly hatoboi mtu
Hawa ni wahuni tu.Wenyeji leo kama wapo siriaz kiaina
Wameamua kukubali kulinda kagoli kamoja na kushambulia mara moja moja kwa matukio tuWameweka bus, hawana uwezo wa kupishana na hii Ivory Coat ya leo.
Achana Nae huyo mnazi wa ligi mbovu ya simba na yangaWatu tunaongelewa wachezaji wa maana wewe unaleta habari za Pacome? Hebu angalia watu kama Diakite na Fofana, Pacome anaingia mara ngapi?
Hilo ni kosa kubwa sana, ukiangalia team inavyocheza utaona ina viuongo wengi wenye vipaji ila inakosa mtu makini hapo mbele.Ivory Coast kosa lao la kwanza lilikuwa ni kumuacha Zaha
Alafu Sebastian Haller hakuitwa ama??