Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Wakat mwingine makocha wa kizungu hawana maana Leo naona ivory coast wanacheza mpira sio kama mechi zilizopita.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pacome huyu huyu ambaye Waziri wa Michezo wa CIV hamjui? Au unaongelea Pacome yupi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]kosa lao ilikuwa kuangalia majina ya ulaya, na kimwacha Pacome
Yani anapambana sana basi tu bahati haiko upande waoFofana leo katumwa kazi haswa
Yani anapambana sana basi tu bahati haiko upande waoFofana leo katumwa kazi haswa
SioThubutuuuu!
Ni mtu ndio lakin apige Hata crossNa huyu Fofana Leo anapiga mpira mwingi sana
Watu tunaongelewa wachezaji wa maana wewe unaleta habari za Pacome? Hebu angalia watu kama Diakite na Fofana, Pacome anaingia mara ngapi?kosa lao ilikuwa kuangalia majina ya ulaya, na kimwacha Pacome
Wameweka bus, hawana uwezo wa kupishana na hii Ivory Coat ya leo.Hawa Senegal wanakaba balaa yaani nyuma kuwafungua ni shughuli