Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #8,601
Walau nimefarijika b...Mane kafundisha penalty zinavyopigwa. Mua wa hatari.
Ova
Hili kombe litabaki Ivory coast nini!Bingwa nje bingwa njee.
Ivory Cost wamefanya maajab.
Bingwa nje bingwa
Mbovu penalties..Rip senegal, mendy kajitahidi kuotea directions kadhaa lakini ni byebye, hii game alaumiwe mane tu
Utashangaa wakibeba ndoo😂😂United ya Ferguson umeona hawa best loser wanapita ki-mwamposa kmmk
Hawa watapata kipigo cha kikatili sana