Goodluck Mchika
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 1,228
- 1,138
Nige
Nigeria kama Arsenal tuNamuona Nigeria akitwaa ubingwa kama ataacha utoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nigeria kama Arsenal tuNamuona Nigeria akitwaa ubingwa kama ataacha utoto
Nilitaka Ivory Coast wasogee sogee kidogo ili kuwatuliza mashabiki wao. Mimi huwa siyo fan wa mwenyeji yoyote wa mashindano makubwa kutoka mapema hata awe dhaifu kiasi ganiSisi ivory coast tumeshazoea Dua mbaya, tukutane uwanjani
Una wazimu wewe, au haya ndio ni marudio na matukio waanayowalatea mbashara huko TBC ?
Ivory coast wanakosa kessie anakosa
Ivory coast atakutana na mshindi wa kati ya Mali vs Burkina faso, nikishacheki game ya Mali vs burkina faso ndo nitakuja na jibu kamili la kam ivory coast tutasonga mbele au tutatolewa Robo fainaliNilitaka Ivory Coast wasogee sogee kidogo ili kuwatuliza mashabiki wao. Mimi huwa siyo fan wa mwenyeji yoyote wa mashindano makubwa kutoka mapema hata awe dhaifu kiasi gani
Yaani siyo yule Mane wa Liverpool ninayemjuaSio kadi..kaisha
Mendy ni kipa mzuri sana kucheza dakika 90 uwanjaniMendy anacheza penalt
Leo bahati ilikuwa upande wake tuHizi ndio penalties sasa, Sadio ni Pro
Rip senegal, mendy kajitahidi kuotea directions kadhaa lakini ni byebye, hii game alaumiwe mane tu
😂😁Binafsi siwezi kumlaumu Mendy
Upumbavu wa kocha na ujinga wa mastrika umeifikisha hapo Senegal.
Mane utamuonea bure, amejitahidi sana kutengeneza nafasi, na attempts kadhaa.
😂😂😂Wanajikutaga Kama ma last born wa Mungu.Hawa Bora watoke, viburi vya mafanikio viliwajaa wakadhani hili kombe ni la baba Yao, mara kufanya uwanja kuwa msikiti wakidhani labda wanaswali Sana na wanasikilizwa na Mungu zaidi. Kumbe !!!!
Maswaabirina kawatelekeza waja wakee😂😁😁Hawa Bora watoke, viburi vya mafanikio viliwajaa wakadhani hili kombe ni la baba Yao, mara kufanya uwanja kuwa msikiti wakidhani labda wanaswali Sana na wanasikilizwa na Mungu zaidi. Kumbe !!!!
Yamenichania mkeka makubwa jinga haya[emoji23][emoji16]
Polee sana hao ungeweka wafungane tuYamenichania mkeka makubwa jinga haya
Bingwa tetezi linakuwa jinga hivi akiyanani [emoji706]
Mechi ilivyokuwa lazima mikeka ya watu imechanika.Polee sana hao ungeweka wafungane tu
Yamenichania mkeka makubwa jinga haya
Bingwa tetezi linakuwa jinga hivi akiyanani [emoji706]