Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Hawana uwezo huo.Hili kombe litabaki Ivory coast nini!
Kombe litakwenda visiwaniHili kombe litabaki Ivory coast nini!
Yeye na kipa wa ivory coast ww unaona nani kajitahidi mkuu?Mbovu penalties..
Kesho napo ushangae Morocco na Sauzi watupeleke had matuta.Tukalale sasa…masa manne kabla ya kuamka kwenda vibaruani
NakumbukaNilisema mimi hawa Senegal hawana game plan,.....mpira wa janja janja haunaga mbio ndefu
Naona umelivua koti, si ushangilie tu sasa b...?Kessie kwa namna alivyopiga penalty yake, ni kama katujulisha ni kwanini alipewa kupiga penalty ya mwisho. Ni kali sana kuliko zote.
Ova
Nilitaka Ivory Coast wasogee sogee kidogo ili kuwatukiza mashabiki wao.Senegal [emoji1211] akipita atakutana na kati Mali [emoji1159] au Burkina Faso [emoji1059]
Asogee sogee hata 16 bora au robo wakamchinjie huko
Kwa nani ?Hawa watapata kipigo cha kikatili sana
NtakustuaKwa nani ?
Kakosa kama nafas 2 nzr kbs.Rip senegal, mendy kajitahidi kuotea directions kadhaa lakini ni byebye, hii game alaumiwe mane tu
Ivory Coast anakutana na Cabo Verde na shughuli yao itakuwa imeishia hapo. Nilitaka wasogee sogee kidogo ili kuwatukiza mashabiki wao.
Ulitegemea leo wangeng'ara?Hawana uwezo huo.