Mbna Ghana kafungwa na Cape Verde. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Misri akicheza na Ghana hatoboi
Nani kashinda?Game is ova
😂🤣🤣😁Ngoja utaonaMbna Ghana kafungwa na Cape Verde. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijaona mechi hata moja hadi sasa, vipi mashabiki wanajitokeza uwanjani?AFCoN ya mwaka huu timu kubwa zipo kinyonge sana
Mashabiki ni wachacheSijaona mechi hata moja hadi sasa, vipi mashabiki wanajitokeza uwanjani?
Itakuwa wanaangalia upepoMashabiki ni wachache
Chukulia tu mfano, Taifa Stars ipo mashindanoni, hivi kuna Watanzania hata 500 waliosafiri kwenda kuishangilia timu ikicheza?Itakuwa wanaangalia upepo
Naunga mkono hojaChukulia tu mfano, Taifa Stars ipo mashindanoni, hivi kuna Watanzania hata 500 waliosafiri kwenda kuishangilia timu ikicheza?
Jibu ni hapana bila shaka, sasa tutajazaje viwanja vya mashabiki elfu 35?
Hatimaye tumekutana Mtani. Lol.Mbna Ghana kafungwa na Cape Verde. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Misifa mingi.Onana akiwa katika ndege binafsi akielekea Ivory Coast kwenye AFCONView attachment 2872312
Hii Egypt hata ikitokea imevuka makundi.. Siwaoni kbs wakienda mbali watatupwa nje.Naona watu wanaichukulia poa egypt
Egypt kiufundi yupo vizuri
Mozambique team work imewapa point moja
Wakikaza watavuka makundi lkn sio rahisi
Ndo asili yao hyo.hao wamakonde wa mtwara wametoka kwao.mtwara ipo msumbijiKwanini mnawaita wamakonde?
Kounde?Ama kweli upele humuota asiye na kucha. Pesa zote hizo amevaa kama homeless.
Ameichafua hiyo PJ yenyewe kali kinoma.
Unaweza kuvaa mavazi ya gharama ila ukaonekana kituko, taste ya mavazi ni kipaji.
Natamani siku tujadili wachezaji wakali wa fashion...
Ghana amepigwa bao 2 yeye kaishia kupata 1Hivi jana ile mechi ya saa 5 walitokaje??
Wako mbali sana kimpira, ukilinganisha na sisi. Hata hivyo mataifa mengi sana yaliyokuwa yanachukuliwa kuwa madogo kimpira kwasasa yameamka na yanapiga mpira mkubwa sana kuliko team zenye majina.
Ni Tanzania tu ndio bado inaleta ujinga ujinga kweny soka.
Ghana amepigwa bao 2 yeye kaishia kupata 1Hivi jana ile mechi ya saa 5 walitokaje??