2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Naona watu wanaichukulia poa egypt

Egypt kiufundi yupo vizuri


Mozambique team work imewapa point moja

Wakikaza watavuka makundi lkn sio rahisi
Hii Egypt hata ikitokea imevuka makundi.. Siwaoni kbs wakienda mbali watatupwa nje.

Watu tulikua tunatabir michuano hii kwa majina lkn nachokiona kuna underdog m1 atacheza final Au kubeba kbs hii ndoo wakileta masihara.

Sema tusbr round ya kwnz kila mtu acheze tutajua mbivu na mbichi.
 
Ama kweli upele humuota asiye na kucha. Pesa zote hizo amevaa kama homeless.
Ameichafua hiyo PJ yenyewe kali kinoma.

Unaweza kuvaa mavazi ya gharama ila ukaonekana kituko, taste ya mavazi ni kipaji.
Natamani siku tujadili wachezaji wakali wa fashion...
Kounde?
 
Wako mbali sana kimpira, ukilinganisha na sisi. Hata hivyo mataifa mengi sana yaliyokuwa yanachukuliwa kuwa madogo kimpira kwasasa yameamka na yanapiga mpira mkubwa sana kuliko team zenye majina.

Ni Tanzania tu ndio bado inaleta ujinga ujinga kweny soka.

Cape Verde wamemnyoosha Ghana. Hawa jamaa naona bado ni tishio.
 
Back
Top Bottom