Hakikagame za mtoano hizi mjomba ukijifanya unajua kupishana sana na watu utapa unachoktfuta
ππππBila uwepo wa Senegal michuano ishakuwa batili.
anazingua wakati kuna kila dalili mechi ya jana refa alikua anaonekana yupo upande wao mfano rejea tukio la sadio mane ile ilikua red card bila mjadala njoo kwenye penati bila shinikizo.la watu wa VAR ile penati alitaka kupeta wakubali wametoka tukutane kwa mkapa 2027Senegalese Player, Krepin Diatta accuses CAF of corruption, after they lost to Cote d'Ivoire on penalties in the AFCON.
He said "Youβve killed us, youβre corrupt! Keep your African Cup.
Iβm sorry, but itβs ridiculous. Iβm really sorry, but theyβve killed our competition there".View attachment 2889028
Mwanadamu haishi lawamaWhat he doubts? How Senegalese sabotaged by CAF
Kipa wa Kibu Dengaila kipa la yanga shati
Subiria sasa amphibia waje***** kipa kauzwa, ameruka kama anarukia kitandani
hamna kipa apo ana ruka ruka tu***** kipa kauzwa, ameruka kama anarukia kitandani
ππila kipa la yanga shati