uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Goba anaishi Yule Waziri wa Uwekezaji Prof Kitila MkumboTanesco huku Goba kuna shida gani siku ya 4 hii mfululizo umeme hawakati [emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Goba anaishi Yule Waziri wa Uwekezaji Prof Kitila MkumboTanesco huku Goba kuna shida gani siku ya 4 hii mfululizo umeme hawakati [emoji2]
Kabisa yani!!Vipi mtetez wa waarabu nae akafunga virago vyake leo?
Si itakua imekaa poa ndugu zngu?
muwe na akiba ya maneno yale yaliyotokea jana Civ na SENEGAL yanaweza kujirudia😀Mzulu lazima arudi kwao
Itakuwa ndio anatuokoa huyuGoba anaishi Yule Waziri wa Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo
Watoke tu na wao itakua gudi.Kabisa yani!!
South Africa ni kitimu kidogoVitimu vidogo vimetukamia sana
Kama ni Under dog mbon had mda huu hawajaruhusu goliNje ya maslahi ifike wakati wachezaji wa south africa watoke nje.
Wamegeuzwa underdog kwenye hii mechi