The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
Timu bovu au na wenyewe mabovu wew vip kwani Morroco anamaajabu Gani kwenye Africon sjui mara ya mwisho lini kacheza fainaili
Wanaovocheza had ss inaonekana ngum.
we jifariji tu apo wote ni under dog kweny hii michuano South African final kacheza miaka hiyo Morroco naye ishapita karibu miaka 40sauz atafirimbwa urembe kipind cha pili akawahi amapiano staili mpya za kucheza
Sijui kama unafuatilia mpira!
πππππmkuu nimecheka sana atafirimbwa urembwe Halafu kule mbele anamaliziaje?sauz atafirimbwa urembe kipind cha pili akawahi amapiano staili mpya za kucheza
wew unazan una AZAM na DSTV peke akoSijui kama unafuatilia mpira!
hako kajamaa kembamba ila kataaramunaOunahi πππ
mjomba mim nakupinga kuwaona South Africa sjui kama ni katimu ka ajabu wakati wote tu Morroco na South ni Under dog kwenye Historia ya hii michuano.Sijui kama unafuatilia mpira!
mjomba mim nakupinga kuwaona South Africa sjui kama ni katimu ka ajabu wakati wote tu Morroco na South ni Under dog kwenye Historia ya hii michuano.
haaaaa wacha sis na man u yetu tufe tu hatuna namnaFergi bwana, sasa mnae ten hag [emoji2]