MgosiMnubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2022
- 890
- 1,487
ndugu zangu wametangulia[emoji1221][emoji1221][emoji1221][emoji1221][emoji1221][emoji1221][emoji1221][emoji1221]
Hili goli lunarudindugu zangu wametangulia
Sema saaàaaaaaaafiNdo nn sauz mnatumia nafasi za wenzenuuu
Morroco kashatangulizwa mojaTunaomba matokeo wengine Tanesco wamefanya yao.
Mandela 1- morocco 0Tunaomba matokeo wengine Tanesco wamefanya yao.
SA MOYATunaomba matokeo wengine Tanesco wamefanya yao.
KabisaaaaaSasa tutaona mpira mwingi
hili linarudi mkuu au unOnaje?Sasa tutaona mpira mwingi
Mar 0: 1 RSaTunaomba matokeo wengine Tanesco wamefanya yao.