Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Tunaenda extra time hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atarud tu sbr uone mkuu maajab kama ya jana.kabisa hakimi hataki kurudi psg bila kombe wakat wame mu wish leo[emoji23]
Jana pia ilikuwa hivi hivi watu wakarudisha😂😀Atarud tu sbr uone mkuu maajab kama ya jana.
Wasitufanye tukeshe na leo...Kazen Sauzi.
Nyie ni ndg hata nyimbo ya taifa tunaimba melody moja.
Kazeni![]()
Kombe hawabebikabisa hakimi hataki kurudi psg bila kombe wakat wame mu wish leo😂
watu mna imani kali South africa kaone bora apaki basiTunaenda extra time hapa
Kbs waache ufala waache ufala kbs.Wasitufanye tukeshe na leo...
Ngoma iishe hivihivi..
Lalini wa Morocco wana mbio hatari.Nilisema mapema hapa, japo mpira ni dk 90 ila Morocco anaweza kuaga kimzahamzaha.
Itakuwa aibu kwenda extra time na sauz, tunarudisha na kuimaliza game kwenye 90 hizi hiziTunaenda extra time hapa
Kanji alivyo na dharau Leo kampa Morocco odd 1 na south odd 6Morocco atatupwa nje kimasihara ivi ivi.
Tena kwny izi izi 90.[emoji41]
Wao wakimbie tu mkuu lkn goal hawapati.Lalini wa Morocco wana mbio hatari.
RSA wana mabeki imara sana, ingekuwa star tungekula 10
Alijua mtelezo.Kanji alivyo na dharau Leo kampa Morocco odd 1 na south odd 6