Nilisema mapema hapa, japo mpira ni dk 90 ila Morocco anaweza kuaga kimzahamzaha.team SA tunaweza kufanya jambo kwenye hii mechi, mliokuja na matokeo yenu inabidi mjitafakari.
Kabisa ,apa ndio Mpira utachezekaSasa tutaona mpira mwingi
Muarabu lazima acheze AmapianoSasa tutaona mpira mwingi
Hata mie naona hivyo. Tena mapema sana.hili linarudi mkuu au unOnaje?
South hana chake hapa ni suala la muda tuNilisema mapema hapa, japo mpira ni dk 90 ila Morocco anaweza kuaga kimzahamzaha.
hawa watoto wa mandela wakacheze mapianoHata mie naona hivyo. Tena mapema sana.
Muarabu lazima acheze AmapianoSasa tutaona mpira mwingi
Wakirudisha wanapigwa lingine 😂Hili goli lunarudi
Angalia usije Lia Kiarabu.watu wa kubet wamenambia niweke ela yote ya kununulia vifaa vya kaz sait kesho nimpe moloko.
Muarabu lazima acheze Amapiano
utakuja kuuwa familia njaaa burewatu wa kubet wamenambia niweke ela yote ya kununulia vifaa vya kaz sait kesho nimpe moloko.
kabisa hakimi hataki kurudi psg bila kombe wakat wame mu wish leo😂Wakirudisha wanapigwa lingine 😂