Komba the Great
JF-Expert Member
- Apr 25, 2016
- 340
- 654
Morroco mim sishangai kutoka kwenye Afri con hana rekodi yoyote nzuriWaarabu wote wamefanyiwa ukatiri Africon
Morocco OUT
Sasa hakuna tena Waarabu waliobakia wote wabantu tupuMorroco mim sishangai kutoka kwenye Afri con hana rekodi yoyote nzuri
afu kuna maswahili ya Dodoma iringa Road yanawashangalia yanasema ni Ndugu zaoHawa Warabu si walivo fika semi ya WC walisema wao sio waAfrica?.. Sasa kwnn wanalia lia kutoka AFCON?
Wao sio waAfrica ss wametuacha waBantu tupambanie kombe.. Wao si wana jeuri?.. Ss jeuri yao waende wakashindanie EURO au COPA AMERICA..wao si sio waAfrica?
Nendeni mkawashe yale mamoshi yenu yenye rangirangiDah kwaio wamorocco nd tunatoka
Akijibu nitagMimi nilisema hapa mapema tu, Bwana Gwele una chochote cha kusema?😁View attachment 2889199
mm siwalilii moroko naililia ela yangu ya kamariHakimi ndio katuua aisee
Hawa mafala walikana tena kwa jeuri na kejel za shombo.afu kuna maswahili ya Dodoma iringa Road yanawashangalia yanasema ni Ndugu zao