2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

afu Morroco waliweka asilimia mia kombe hili wanabeba ila kilichowakuta hawamini kabisa
Mafala nilikua nawafatilia sana hata mitandao ya huko kwao Casablanca walijua hii shughuli imeisha.

Tena jana baada ya Senegal kutoka wakawa wanatamba kwmb wa kuweza angalau kutuzuia kdg katolewa.

Mpr ndo maana ni mchezo unapendwa dunian kote kwa sbb hautabiliki kirahis rahis sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…