Anaweza chukua huyu haswa wakifika fainaliSana asipo pewa uchezaji bora wa mashindano atakua hajatendewa haki
Game OnTimu gani zinaanza?
Tanesco wajinga
Burudani.Angola tumeamka.
wamezidiwa mbinu wamezoea kucheza kwenye counter Nigeria leo kaja na Dawa ya mbinu zaoAngola wanafeli wapi
uyo mtoto atawasidia sana Nigeria labda itokee mbele ya safari awe mtu wa injuryHuyu Lookman msumbufu sana
wanajua wakishinda Nusu ile paleNigeria wamepaki basi
kwani hiyo Tv ni ya kwao au yakwakoHaya Mambo haya ya Kucheki Mechi Nyumbani tabu tupu, Haya Watu wanakomaa Waangalie Jua Kali sijui,