Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Captain Ekong mzaliwa wa Uholanzi, beki mmoja kazi sanaile back three yao inabaka sana hasa captain na yule Rasi anacheza na left foot
TutaonaKama nusu itakuwa kati ya south africa na Nigeria atakayepita hapo anachukua
Fundi sana huyuCaptain Ekong mzaliwa wa Uholanzi, beki mmoja kazi sana
Nenda browser ya chrome andika, Yalla shoot live, utaona mechi mbalimbali chagua.Tuma link ya kucheki kwenye simu
hawajakutana na timu yenye akiliUnajua defence ya Nigeria ni ngumu sana.
Mpaka sasa wamecheza mechi tano sawa na dakika 450 katika michuano hii huku wakiwa wameruhusu goli moja tu
Mutu ya Lubumbashi me nimepita kaka na super eagles yangu nangojea kesho Bafanabafana wapiteDR Congo 🇨🇩 start list:
Lionel Mpasi (GK)
Gedeon Kalulu
Chancel Mbemba (C)
Henock Inonga Baka
Arthur Masuaku
Samuel Moutoussamy
Charles Pickel
Theo Bongonda
Meschack Elia Lina
Yoane Wissa
Cedric Bakambu
Allez les Léopards! 🇨🇩
Bana Mboka!🐆
Anaweza chukua huyu haswa wakifika fainali
jamaa linakaba sana lile lipewe maua yakeCaptain Ekong mzaliwa wa Uholanzi, beki mmoja kazi sana
Congo leo inabidi watokeDR Congo [emoji1078] start list:
Lionel Mpasi (GK)
Gedeon Kalulu
Chancel Mbemba (C)
Henock Inonga Baka
Arthur Masuaku
Samuel Moutoussamy
Charles Pickel
Theo Bongonda
Meschack Elia Lina
Yoane Wissa
Cedric Bakambu
Allez les Léopards! [emoji1078]
Bana Mboka![emoji249]
Kama akina nani?Hawa hawajakutana na timu yenye akili
Umechokoza vita hapoCongo leo inabidi watoke
Kaka na sisi batoto ya nzambe Leo tutapitaMutu ya Lubumbashi me nimepita kaka na super eagles yangu nangojea kesho Bafanabafana wapite
BaelezeeUmechokoza vita hapo
Watoke tu had mda huu ilitakiwa wawe wamerudi kwaoUmechokoza vita hapo
Naweka risiti hii baadae usikimbie hapaCongo leo inabidi watoke
Waende Wapi?Congo leo inabidi watoke
Ila Kumbuka Mpira wakati mwingine una Matokeo ya Kikatili, Usije Kimbia na Wewe, Japo na Mimi Nataka Bamutu Ba Congo basonge MbeleNaweka risiti hii baadae usikimbie hapa
Mim siwezi waogopa wa Congo man nipo pamoja na wa Congo kwenye kupinga vita na M23 ila kwenye Mpira hapana mnisamehee tu Mnacheza Mpira wa ajabu sana mtoke tu Mrudi kwenuNaweka risiti hii baadae usikimbie hapa