Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #9,421
Angola leo wamekanyag nyaya za TransfomerMziki wa nigerians umekuwa mkubwa kwa Angola
Kama offside
Bingwa yupo upande huuWapopo kama utani nusu fainal hii hapa
Basi Tuu Nimeamua kutokua Mdingi Mbabekwani hiyo Tv ni ya kwao au yakwako
Nigeria kama Arsenal tuBingwa yupo upande huu
Kama nusu itakuwa kati ya south africa na Nigeria atakayepita hapo anachukuaNigeria kama Arsenal tu
afu wengi wetu tulimchukulia poa japo kwenye 2010,s Nakumbuka kama Nigeria aliwah Beba AfriconWapopo kama utani nusu fainal hii hapa
Daah kama mimi tu mkuu, nimeamua kuwaachia naangalia kupitia simu.Haya Mambo haya ya Kucheki Mechi Nyumbani tabu tupu, Haya Watu wanakomaa Waangalie Jua Kali sijui,
ile back three yao inakaba sana hasa captain na yule Rasi anacheza na left footUnajua defence ya Nigeria ni ngumu sana.
Mpaka sasa wamecheza mechi tano sawa na dakika 450 katika michuano hii huku wakiwa wameruhusu goli moja tu
Tuma link ya kucheki kwenye simuDaah kama mimi tu mkuu, nimeamua kuwaachia naangalia kupitia simu.
Kuanzia nusu fainali naangali nje tu.