Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Hana maajabu kabisa timu za Epl kama zingemwaga pesa hapa zingejutia sanaOsmeh anakabika kirahisi sana
Mimi mtoto wa Kinshasa siwezi kukimbia hapaIla Kumbuka Mpira wakati mwingine una Matokeo ya Kikatili, Usije Kimbia na Wewe, Japo na Mimi Nataka Bamutu Ba Congo basonge Mbele
Congo anatoka mkuu, hana mpira wa kumfunga Guinea.Naweka risiti hii baadae usikimbie hapa
Kila la kheri leo nawai kulala aseee nitachek highlights tuuKaka na sisi batoto ya nzambe Leo tutapita
Asa leo Guinea anakupiga had urudi kinshasa ya miguu kaa kwa kutulia usubili piraMimi mtoto wa Kinshasa siwezi kukimbia hapa
Warudi kwao Goma kwani ivory coast ni kwao hapoWaende Wapi?
ata yo mokoAsa leo Guinea anakupiga had urudi kinshasa ya miguu kaa kwa kutulia usubili pira
bileko na bilekoAsa leo Guinea anakupiga had urudi kinshasa ya miguu kaa kwa kutulia usubili pira
wew ongea sjui ki france sjui lingara sjui li goma ila Guinea lazima akutobe tuboe machobato ya mokili
bana Congo oye
Ndo nn dada, sielewi hii lugha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aibooooo....Ndisiyanza..[emoji28]