KwakweliMkuu tuvumiliane ndio wachambuz wetu Jf [emoji2]
Congo to qualifyHii mechi inaenda kuisha droo au Congo afungwe ndani ya dk 90
Mashambulz yao yamekuwa na athar kias fln tofaut na GuineaHii mechi inaenda kuisha droo au Congo afungwe ndani ya dk 90
Si kweliHii mechi inaenda kuisha droo au Congo afungwe ndani ya dk 90
Kuna mtu atakula umeme ngoja tuoneHii mechi rafu za hovyo zimekuwa nyingi
awa si wana wachezaji wengi wanatoka euro na sio Congo yote ina vitaHivi kongo wanapata muda upi wa kujifunza mpira na mazoezi kila siku vita
Mbna nchi zinazosifika kwa aman[emoji1787][emoji1787] hawajui nn wanafanya
Aliumia game na tanzaniaHiv KAKUTA majeruhi sijamuona mech ya pil sasa ?