MgosiMnubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2022
- 890
- 1,487
Aaah
TANESCOOOO
TANESCOOOO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ikitokea wakatwaa ubingwa watakuwa wametuacha mbali sana wabongo ambao hatujawahi hata kunusa robo final.Si kweli
Kongo nusu fainali
Mgosi vp, mbona unaleta ubishi wa wapare?Si kweli
Kongo nusu fainali
Wapi hukoTujuzane jaman huku washafanya yao
Tujuzane jaman huku washafanya yao
Namkubali sana yule mwamba 🔥🔥Aliumia game na tanzania
Mwaka 1974 Congo (Zaire) walitwaa ndoo ya AFCON kipindi chini ya utawala wa dikteta dhalimu Mobutu Sesseseko.Na ikitokea wakatwaa ubingwa watakuwa wametuacha mbali sana wabongo ambao hatujawahi hata kunusa robo final.
Dogo sio fundi yule, Ile wenzie Wanafinya, Beki inapiliza kama Mzigo, halafu unapasia kwa Nyavu, sasa we anapiga Mpira na Mbele yake kuna Mtu, kwamba Anadhani Mpira utamtoboa Beki Upitilize hadi nyavuni.Inonga kafanya block ya maana
Sisi Moya wao Moya...Tujuzane jaman huku washafanya yao
Duu kitambo sana aiseeMwaka 1974 Congo (Zaire) walitwaa ndoo ya AFCON kipindi chini ya utawala wa dikteta dhalimu Mobutu Sesseseko.
Kwahiyo wakitwaa ubingwa sio mara yao ya kwanza bali itakuwa ni mara ya 3
Nimesikia sana Simba ikitajwa hapo. DSTV English LanguageMwanetu Inonga anasaidia sana Timu
Umeangalia angle flani hivi mkuuNa ikitokea wakatwaa ubingwa watakuwa wametuacha mbali sana wabongo ambao hatujawahi hata kunusa robo final.
YeahNimesikia sana Simba ikitajwa hapo. DSTV English Language