Nako mashikolo tuVipi kwa dstv?
VPN ni kifupi cha Virtual Private Network. Ni encrypted tunnel kati ya vifaa viwili ambayo inakuwezesha kuingia kwenye kila website na huduma nyinginezo za mtandaoni privately na securely.VPN Ndo vitu gani tena hivo 🤔🤔🤠😁??
Asante kwa mwongozoVPN ni kifupi cha Virtual Private Network. Ni encrypted tunnel kati ya vifaa viwili ambayo inakuwezesha kuingia kwenye kila website na huduma nyinginezo za mtandaoni privately na securely.

[emoji23].They call it Africa, We call it home!
Imerudi sasa[emoji23].
Haya ndo matatz station zote zinapokea feed 1 sasa iyo feed leo ndo iko na technical problems Africa nzima mpr live umekata.
Tumieni web zinapiga kazi ila naona washarudi hawaStartimes wamerudi japo mtangazaji hasikiki
OkayTumieni web zinapiga kazi ila naona washarudi hawa
Senegal 2-0Matokeo ngapi
Wametepeta kama mrendaHawa Gambia utadhani wanashindia mlenda 🤠🤠🤠
Hawana stamina kabisa