OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
wanacheza na timu mbovuSenegal wapo katika nafasi nzuri ya kutetea kombe , Mpira wao ni wa kasi wana vijana wadogo wana uchu wa kufunga na wana kasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanacheza na timu mbovuSenegal wapo katika nafasi nzuri ya kutetea kombe , Mpira wao ni wa kasi wana vijana wadogo wana uchu wa kufunga na wana kasi
Umeona eehh..yani hawa wakiendelea kulegea watapenyezwa sana magoliWametepeta kama mrenda
Watalowa in harmonize song 🤣😂😁Umeona eehh..yani hawa wakiendelea kulegea watapenyezwa sana magoli
Doh Senegal kuna mchezaji aliepewa red card??Nawaona Senegal kdg wako serious na kazi yao pa1 madg wako pungufu.
Lkn senagal watasogea kdg mbali kaz yao inaonekana ya serious kdg.
Nawapa nafasi ya kufika mbali zaidiNawaona Senegal kdg wako serious na kazi yao pa1 madg wako pungufu.
Lkn senagal watasogea kdg mbali kaz yao inaonekana ya serious kdg.
Udhaifu wa Senegal ni back line Hata kocha cisse alimlaumu coulibaly.wanacheza na timu mbovu
Africa kwenye haya mashindano iliacha kujaza mashabiki kitambo sana, hapo hadi acheze mwenyeji tuViwanja hamna mashabiki kabisa
Nadhani ni nchi pia yalipofanyikia imechangia kutokua na amsha amsha
Kachanganya huyo sio senegalDoh Senegal kuna mchezaji aliepewa red card??
Hpn GambiaDoh Senegal kuna mchezaji aliepewa red card??
Sijachanganya mkuu.. Nimesema "Pa1 madg wako pungufu " nikimaanisha The Gambia.Kachanganya huyo sio senegal
Mashindano yakija Africa mashariki mashabiki watakuwepo.Africa kwenye haya mashindano iliacha kujaza mashabiki kitambo sana, hapo hadi acheze mwenyeji tu
Chama langu.