2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Na ikitokea wakatwaa ubingwa watakuwa wametuacha mbali sana wabongo ambao hatujawahi hata kunusa robo final.
Mwaka 1974 Congo (Zaire) walitwaa ndoo ya AFCON kipindi chini ya utawala wa dikteta dhalimu Mobutu Sesseseko.

Kwahiyo wakitwaa ubingwa sio mara yao ya kwanza bali itakuwa ni mara ya 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…