Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Hawa wenzetu sio Wageni saana na Haya mashindano, sio sawa na Akina Sisi ambao mafanikio yetu ni Kushiriki mara tatu.Mwaka 1974 Congo (Zaire) walitwaa ndoo ya AFCON kipindi chini ya utawala wa dikteta dhalimu Mobutu Sesseseko.
Kwahiyo wakitwaa ubingwa sio mara yao ya kwanza bali itakuwa ni mara ya 3
Wapi hukoTanesco washachukua mzigo wao
Itakuwa nchi nzimaTanesco washachukua mzigo wao
1-1Ngapi ngapi uko
Najua wakishalibeba mara 2 hilo kombe, ila sisi hata robo hatujawahi kutinga, sijui wabongo tunakwama wapi?!Kwahiyo wakitwaa ubingwa sio mara yao ya kwanza bali itakuwa ni mara ya 3
Hapa nilipo upo unawaka fullItakuwa nchi nzima
Najua wakishalibeba mara 2 hilo kombe, ila sisi hata robo hatujawahi kutinga, sijui wabongo tunakwama wapi?!Kwahiyo wakitwaa ubingwa sio mara yao ya kwanza bali itakuwa ni mara ya 3
Sio robo tu. Hata kushinda match moja hatujawahi.Najua wakishalibeba mara 2 hilo kombe, ila sisi hata robo hatujawahi kutinga, sijui wabongo tunakwama wapi?!
Itakuwa nchi nzima
Daah, Ila ni Huzuni Kwa Kweli,Sio robo tu. Hata kushinda match moja hatujawahi.
Maeneo gani mkuuTanesco washachukua mzigo wao
Hilo la kutokushinda hata Mechi moja limo ndani ya kutokufika hata robo fainali, ni hakika hatujawahi kushinda 😂😂Sio robo tu. Hata kushinda match moja hatujawahi.
Daah, Ila ni Huzuni Kwa Kweli,
Mkongo tunamua huyu lazima ateme Bungo leoNipo mbali na TV mnamuonaje Mkongo mliombele ya TV?