Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Jamaa mzuri sana. Ulicheki ile game vs Morocco [emoji1173]?Hivi huyu Silas kwanini Huwa haanzi, ili tuwe tunalala Mapema.
Nashangaa kocha anamuweke nje alafu anamuanzisha wissaHivi huyu Silas kwanini Huwa haanzi, ili tuwe tunalala Mapema.
Sawa π€£πππCongo wanaweza kukosa hawa
Kashatupia cha pili huko[emoji23][emoji23][emoji23]Mkongo tunamua huyu lazima ateme Bungo leo
Hii Afcon ina penati nyingi kuliko mechiAfcon hii magoli meng yamefungwa Kwa Penati[emoji2]