Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
NDugu zetu utopolo tunawapambania kijana wao aingie aiseeKocha atoe hii banza aingize mayele maana banza anataka kuanza boxing
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NDugu zetu utopolo tunawapambania kijana wao aingie aiseeKocha atoe hii banza aingize mayele maana banza anataka kuanza boxing
Tunaweza kupata memes kama yule mwamba wa Code D'voire [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baadae akaishia kuomba radhi kwa Familia yake
Yani bakambu ni mzigo ila ulaya wazungu Wanalikumbatia nimeona kahamia Real Betis Toka Galatasaray janaNso na type hapa Bakambu ni mzigo lakini bado yupo.
Bora katolewa.
Mwanetu Mayele naona imeisha hiyo
Mfumo wa Timu sio Rafiki kwakeNso na type hapa Bakambu ni mzigo lakini bado yupo.
Bora katolewa.
Mwanetu Mayele naona imeisha hiyo
Na ukizingatia lile ni eneo la hatar ukimgusa mtu kidgo tuu anakusababishia lawama
Banza Stone hata dk 10 hajafikisha [emoji23][emoji23]Kocha atoe hii banza aingize mayele maana banza anataka kuanza boxing
Kocha hamwamwinii ama ,
Mfumo wa Timu sio Rafiki kwake
Usikute anawaroga maana Wakongo Kwa mazingaombwe hawajambo😃Yani bakambu ni mzigo ila ulaya wazungu Wanalikumbatia nimeona kahamia Real Betis Toka Galatasaray jana
Na ndio kwanza KaingiaKocha atoe hii banza aingize mayele maana banza anataka kuanza boxing
Ila jamaa katuwakilisha waomba namba [emoji3][emoji3][emoji3]. Pisi kama ile unaachaje kuomba namba bwana.[emoji23][emoji23][emoji23]mwamba alitisha sana
Mbona kama mnampambania sana wakuu si alianza dhidi ya stars inatoshaKocha atoe hii banza aingize mayele maana banza anataka kuanza boxing
Bakambu akiwa Villarreal ndio alikuwa wamoto sana.Yani bakambu ni mzigo ila ulaya wazungu Wanalikumbatia nimeona kahamia Real Betis Toka Galatasaray jana
😃😃😃😃Usikute anawaroga maana Wakongo Kwa mazingaombwe hawajambo😃