Night Watch
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 2,092
- 2,126
Afcon hii magoli meng yamefungwa Kwa Penati[emoji2]
Amekusikia mkuu, kashafanya jambo jemaMwanetu Wisa akiweka umakini kidogo tu anatupa ushindi
Wisaaa hatimaye anatuvusha mwanetu wa faidaMwanetu Wisa akiweka umakini kidogo tu anatupa ushindi
Na ndio maana upo humu [emoji1787][emoji1787]Mm naona Silas Amejikwatua mwenyewe Kwa miguu yake haikupaswa KUWA penati
Mm naona Silas Amejikwatua mwenyewe Kwa miguu yake haikupaswa KUWA penati
Afcon hii magoli meng yamefungwa Kwa
Hivi hii Penalty ya Congo DR [emoji1078]vs ya Guinea [emoji1119] ipi unaweza sema ndio strong oneMm naona Silas Amejikwatua mwenyewe Kwa miguu yake haikupaswa KUWA penati
Mlikuwa na waganga wangapi?Mwasibu kumbuka sisi makolo tulipigwa 5 tukiwa na inonga
Sawa 🤣🤣😂😂 Kiko wapi sasa na timu yenu mbovu hiyooMkongo tunamua huyu lazima ateme Bungo leo
Tunaweza kupata memes kama yule mwamba wa Cote D'voire [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jukwaaa la Congo lina watoto wazuri[emoji23]
Wisa mwana sana nilimuona tu mapema kuwa anafanania kutupa ushindi na upara wakeWisaaa hatimaye anatuvusha mwanetu wa faida
Refa kabalnce safi sanaHivi hii Penalty ya Congo DR [emoji1078]vs ya Guinea [emoji1119] ipi unaweza sema ndio strong one
Na ukizingatia lile ni eneo la hatar ukimgusa mtu kidgo tuu anakusababishia lawamaAngalia vizuri ule mguu wake wa kulia uliguswa then ukajigonga na wa kushoto,ni penalty halali
Chato ya Mikocheni? Pale si mtaa mzima wana jenereta? Hiyo ndiyo inawaponza labda.Chato street
Sasa hivi 😂 😂 ngapi ngapi ??Kwani umefuzu kazi yako wew ni kochomoa wezako wakichomeka wew Ndio una Chomoa
Wissa mzuri pia. Congo wana professionals players wa kueleweka.Nashangaa kocha anamuweke nje alafu anamuanzisha wissa
Kocha atoe hii banza aingize mayele maana banza anataka kuanza boxingNso na type hapa Bakambu ni mzigo lakini bado yupo.
Bora katolewa.
Mwanetu Mayele naona imeisha hiyo