Wapi mayele mkuu leo hata camera hazimuoneshi kabisaFauloooo kambaaaa sisi ndo watoto wa Kinshasa fimbu fimbuuu
Kiko wapi sasa wewe Binti mpiga kelele wa buguruni Pakti 3 zote tumazitumia kwako yaani 🤣😂😂😁😁😁Kwani umefuzu kazi yako wew ni kochomoa wezako wakichomeka wew Ndio una Chomoa
Nikuulize wewe mwanayanga mwasibuMlikuwa na waganga wangapi?
Imekuwa kama mpira wa Jabulani unabadili uelekeo hewan😃Khaaa huyu jamaa kapigaje hii faulo kitu ndani
Aliwahi Kuwafunga Chelsea akiwa eneo kama Lile, Ila Haiku faulo, kipa anajua imepigwa Cross, Kumbe chuma imeelekezwa Golini.Khaaa huyu jamaa kapigaje hii faulo kitu ndani
Golikipa wa To Mazembe tuuu Siadi ndio anacheza ligi ya kongoHivi hawa Congo wanamchezaji Anacheza Ligi ya Kwao yumo Kikosi cha Kwanza?
Kwani saizi yuko Wapi? Sio bado yuko westham?Masuaku amewahi kufunga goli kama hilo Vs Chelsea wakati akichezea West Ham United
Kiko wapi mbona hatujafungwa sasaHii mechi inaenda kuisha droo au Congo afungwe ndani ya dk 90
Yupo Besiktas anapiga kazi hukoKwani saizi yuko Wapi? Sio bado yuko westham?
Kikosi kizima hadi benchi mchezaji ya ligi ya kwao ni golikipa wa Mazembe, ambaye ni chaguo la 3.Hivi hawa Congo wanamchezaji Anacheza Ligi ya Kwao yumo Kikosi cha Kwanza?