2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

🇨🇩 : Allo
🇬🇳 : Oui c’est qui ?
🇨🇩 : Eli
🇬🇳 : Eli qui ?
🇨🇩 : Éliminé !! 😭🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tukutane final ukitaka kujua sisi ni nani waulize Morocco na mwenzie misri kilichowakuta
kwa kipi Morroco we si ndio alikotoa kwenye play off ya kombe la Dunia 2022 ukaishia kutazama kwenye Radio mbao za Goma yani wew kutokanaye Draw kwenye Africon kwako Ndio mafanikio makubwa na Uyo Misri kumtoa sio kigezo cha wew kujiona taifa kubwa kimpira Misri mwaka 2018 tu katoka kucheza Kombe la Dunia pale Russia wew Mara yako ya Mwisho kucheza Kombe la Dunia ni Lini 2017,2021 kacheza finali za hii michuano wew awo jamaa sio level zako Ndio kwanza unajtfta
 
Uko mbali sana wewe timu yako Tanzania mara mwisho kucheza nusu ilikuwa lini 🤣🤣😁 je umeshawahi kucheza kombe la Dunia au unacheza kombe la Dunia la siasa🤣😂🤣
 
Uko mbali sana wewe timu yako Tanzania mara mwisho kucheza nusu ilikuwa lini [emoji1787][emoji1787][emoji16] je umeshawahi kucheza kombe la Dunia au unacheza kombe la Dunia la siasa[emoji1787][emoji23][emoji1787]
Mim sjawahi na ata ningecheza au ningefika ningewapa heshima yao Misri na Morroco kumfunga mpizani wako haimainishi wew ni Bora kuliko yeye Narudia Tena Morroco na Misri kisoka ao sio level zako kabisa hasa kwenye level ya Timu za Taifa wew watambie ao kina Kenya na Waburundi ila Misri na Morroco waweke pembeni
 
Sasa mbona nilishindana nao na nikawapa tabu sana hao wote wawili na hawapo kwenye afcon Tena hao Morocco timu Yao ya kawaida sana wanapigwa hadi na wazulu 😂😁🤣ndio maana wametoka hao
 
Sasa mbona nilishindana nao na nikawapa tabu sana hao wote wawili na hawapo kwenye afcon Tena hao Morocco timu Yao ya kawaida sana wanapigwa hadi na wazulu [emoji23][emoji16][emoji1787]ndio maana wametoka hao
Wew mwenye timu nzuri ungemtoa Morroco kwenye play off ukacheze kombe la Dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…