Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Romelu bolingoli lukaku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanin lazima kushangilia timu yenu kupata ushindi au kuwa na timu Bora haimanishi kila Mtu atakua Shabiki wa Timu yako jaribu kuwa na free MindTungekuwa wabovu tungefungwa basi hiyo jana sasa kagame katutawala nini jana uliombea sana tufungwe lakini tumeshinda na bado hapa paka kombe nalibeba hili
Tukutane final ukitaka kujua sisi ni nani waulize Morocco na mwenzie misri kilichowakutakwanin lazima kushangilia timu yenu kupata ushindi au kuwa na timu Bora haimanishi kila Mtu atakua Shabiki wa Timu yako jaribu kuwa na free Mind
kwa kipi Morroco we si ndio alikotoa kwenye play off ya kombe la Dunia 2022 ukaishia kutazama kwenye Radio mbao za Goma yani wew kutokanaye Draw kwenye Africon kwako Ndio mafanikio makubwa na Uyo Misri kumtoa sio kigezo cha wew kujiona taifa kubwa kimpira Misri mwaka 2018 tu katoka kucheza Kombe la Dunia pale Russia wew Mara yako ya Mwisho kucheza Kombe la Dunia ni Lini 2017,2021 kacheza finali za hii michuano wew awo jamaa sio level zako Ndio kwanza unajtftaTukutane final ukitaka kujua sisi ni nani waulize Morocco na mwenzie misri kilichowakuta
Uko mbali sana wewe timu yako Tanzania mara mwisho kucheza nusu ilikuwa lini 🤣🤣😁 je umeshawahi kucheza kombe la Dunia au unacheza kombe la Dunia la siasa🤣😂🤣kwa kipi Morroco we si ndio alikotoa kwenye play off ya kombe la Dunia 2022 ukaishia kutazama kwenye Radio mbao za Goma yani wew kutokanaye Draw kwenye Africon kwako Ndio mafanikio makubwa na Uyo Misri kumtoa sio kigezo cha wew kujiona taifa kubwa kimpira Misri mwaka 2018 tu katoka kucheza Kombe la Dunia pale Russia wew Mara yako ya Mwisho kucheza Kombe la Dunia ni Lini 2017,2021 kacheza finali za hii michuano wew awo jamaa sio level zako Ndio kwanza unajtfta
Mim sjawahi na ata ningecheza au ningefika ningewapa heshima yao Misri na Morroco kumfunga mpizani wako haimainishi wew ni Bora kuliko yeye Narudia Tena Morroco na Misri kisoka ao sio level zako kabisa hasa kwenye level ya Timu za Taifa wew watambie ao kina Kenya na Waburundi ila Misri na Morroco waweke pembeniUko mbali sana wewe timu yako Tanzania mara mwisho kucheza nusu ilikuwa lini [emoji1787][emoji1787][emoji16] je umeshawahi kucheza kombe la Dunia au unacheza kombe la Dunia la siasa[emoji1787][emoji23][emoji1787]
Sasa mbona nilishindana nao na nikawapa tabu sana hao wote wawili na hawapo kwenye afcon Tena hao Morocco timu Yao ya kawaida sana wanapigwa hadi na wazulu 😂😁🤣ndio maana wametoka haoMim sjawahi na ata ningecheza au ningefika ningewapa heshima yao Misri na Morroco kumfunga mpizani wako haimainishi wew ni Bora kuliko yeye Narudia Tena Morroco na Misri kisoka ao sio level zako kabisa hasa kwenye level ya Timu za Taifa wew watambie ao kina Kenya na Waburundi ila Misri na Morroco waweke pembeni
Mbona kama umejichanganya? Afike au avuke semi?Ukitaka Mali afike semi final.
Mwombee Cabo ampige South Africa.
Baelezee 😁😂Mbona kama umejichanganya? Afike au avuke semi?
Maana akishinda leo anafuzu semi ambako atakutana na Nigeria au DRC.
Wew mwenye timu nzuri ungemtoa Morroco kwenye play off ukacheze kombe la DuniaSasa mbona nilishindana nao na nikawapa tabu sana hao wote wawili na hawapo kwenye afcon Tena hao Morocco timu Yao ya kawaida sana wanapigwa hadi na wazulu [emoji23][emoji16][emoji1787]ndio maana wametoka hao
Sasa huyo Morocco mwenyewe alienda kubeba Hilo kombe la Dunia?Wew mwenye timu nzuri ungemtoa Morroco kwenye play off ukacheze kombe la Dunia
Sahihi.Mbona kama umejichanganya? Afike au avuke semi?
Maana akishinda leo anafuzu semi ambako atakutana na Nigeria au DRC.
Hakubeba lakini pale alipofika Taifa lako linaweza lisije pafikia hadi kizazi chenu chote Duniani kitapoishaSasa huyo Morocco mwenyewe alienda kubeba Hilo kombe la Dunia?
Hayo sio malengo malengo beba ubingwa kama alivyofanya ArgentinaHakubeba lakini pale alipofika Taifa lako linaweza lisije pafikia hadi kizazi chenu chote Duniani kitapoisha
Hakubeba lakini pale alipofika Taifa lako linaweza lisije pafikia hadi kizazi chenu chote Duniani kitapoisha
Mkuu unaakopi kutoka wapi. 🤣🤣🤣Nzambe eza n'a kati...
Je déclare officiellement que nous surveillerons le fleuve jusqu'à la finale!!!
fimbu 🇨🇩
Yap yap bora umenikumbushaNani wabogojo au
🤣😁😂Mkuu Mimi mimeishi Lubumbashi miaka 15 kuongea lingala na kifaransa ni kitu cha kawaida sana kwanguMkuu unaakopi kutoka wapi. 🤣🤣🤣