Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Na Ndio Maana mim naona ni Bora CAF wangerudisha Timu chache kama zamani ili Mechi zenye ubora ziazie makundi timu sjui kama Taifa stars zisiwepo kabisaGame inavutia sana. Inanikumbusha ile fainali na Coted voire na Egypt
πππmmeanzaMali ikishinda Yanga imeshinda ππ½ππ½
Leo ivory coast lazima mtoke kudadekiMali akienda ET kwisha habari yake
Tunapoza machungu ya Kagera jana π ππππmmeanza
Diara harudi Yanga next SeasonDiarra nusu fainali